ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 7, 2015

MREMA ALIA NA ARDHI YA VUNJO

Mbunge wa jimbo la Vunjo, Augustino Mrema akitetea uchukuliwaji wa kiwanja kilicho chukuliwa na wawekezaji badala ya kutumika kama ilivyopangwa na mmiriki wa kiwanja kilichopo katika kijiji cha Himo eneo la Mieresini,Jimboni Vunjo, katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa habari MAELEZO jijini Dar es Salaam na kulia ni Mkurugezi Msaidizi wa IDARA YA HABARI MAELEZO Tiganya Vincent.
Mwakilishi wa familia ya mzee Lekule, Denis Lekule akizungumza na wandishi wa habari hawapo pichani kuhusiana na jinsi walivyo chukuliwa eneo lao na wawekezaji, badala ya kuwa kama ilivyo pangwa na wazazi wao kuwa eneo la shule ya msingi na shule ya sekondari katika kijiji cha Himo eneo la Mieresini, Jimboni Vunjo, na kulia ni Mbunge wa jimbo la Vunjo, Augustino Mrema.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mbunge wa jimbo la Vunjo Augustino Mrema leo jijini Dar es Salaam.(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA)

No comments: