Advertisements

Wednesday, May 20, 2015

MTANZANIA AKUTANA NA KUNGUNI HOTEL YA BAYMONT INN & SUITES NORTH CAROLINA

Ni kitu ambacho mtu yeyoyote aliye nje ya Marekani hawezi tarajia nchi kama hii kua na kunguni kiasi hicho. Wiki iliyopita Mtanzania mmoja alitembelea pande za Winston Salem, North Carolina na kujichukulia kausingizi katika hotel ya Baymont Inn & Suites iliyopo mji huo huku akitarajia kupata kausingizi kanono lakini badala yake alijikuta anakua chakula cha kunguni usiku kucha.

Kutokana na takwimu za kampuni ya Orkin, kampuni inayothibiti wadudu nchini Marekani inasema mwaka 2013 Marekani imetumia kiasi cha dola milioni 446 kujaribu kutokomeza kunguni jambo ambalo bado linawaia vigumu kwani kunguni wameongezeka kwa asilimia 18 mwaka 2014.

Miji ambayo imetajwa kwa kuongoza kua na kunguni wengi ni Chicago, Detroit na Columbus.

Hapa ni majina ya miji yote yenye kunguni kwa kuanzia 1 mpaka 50 kwa maana kwamba namba 1 ndio mji unaongoza kwa kunguni wengi.

1. Chicago
2. Detroit
3. Columbus, Ohio
4.Los Angeles
5. Cleveland – Akron – Canton, Ohio
6. Dallas – Ft. Worth
7. Cincinnati
8. Denver
9. Richmond – Petersburg, Va.
10. Dayton, Ohio
11. Indianapolis
12. Houston
13. Seattle – Tacoma
14. Washington, District of Columbia – Hagerstown, Md.
15. Milwaukee
16. San Francisco – Oakland – San Jose
17. Raleigh – Durham – Fayetteville, N.C.
18. New York
19. Charleston – Huntington, W.Va.
20. Grand Rapids – Kalamazoo – Battle Creek, Mich.
21. Omaha, Neb.
22. Louisville, Ky.
23. Nashville, Tenn.
24. Lexington, Ky.
25. Atlanta
26. Buffalo, N.Y.
27. Sacramento – Stockton – Modesto, Calif.
28. Syracuse, N.Y.
29. Boston – Manchester
30. Charlotte, N.C.
31. Baltimore
32. Phoenix – Prescott
33. Miami – Ft. Lauderdale
34. Knoxville, Tenn.
35. Cedar Rapids – Waterloo – Dubuque, Iowa
36. Minneapolis – St. Paul
37. Hartford – New Haven, Conn.
38. Champaign – Springfield – Decatur, Ill.
39. San Diego
40. Lincoln – Hastings – Kearney, Neb.
41. Kansas City, Mo.
42. Honolulu
43. Albany – Schenectady – Troy, N.Y.
44. Colorado Springs – Pueblo, Colo.
45. Myrtle Beach – Florence, S.C.
46. St. Louis
47. Greenville – Spartanburg, S.C. – Asheville, N.C.
48. Bowling Green, Ky.
49. Ft. Wayne, Ind.
50. Toledo, Ohio


4 comments:

Anonymous said...

ebwana eeeh marekani kuna kunguni? majabu ya dunia haya au mmewapeleka nyinyi wabongo huko mnawasingizia wenzenu.

Anonymous said...

mWAMBIE ATAFUTE PESA SIKU NYINGINE AKODI HOTELI YA HADHI YA JUU!

Anonymous said...

Kunguni walionekana katika duka moja la fahari hapa New York la Sachs Fifth Avenue, licha ya mahoeli mengi ya hapa New York!!!!!!

Anonymous said...

Acheni upuuzi wabongo, kunguni wapo kila pembe ya dunia. Kwa taarifa waarabu ndo wameeneza kunguni sana pale bongo, maana nchi za uarabuni zote zimejaa kunguni. Qatar Airways ni breeding ground ya kunguni , kama huamini pata tiketi ujionee mwenyewe. Jaribu ndege zote ziendazo uarabuni na utalii kama bweha. Poleni wabongo wote mnaokimbilia Dubai, Qatar, Kuwait, Oman, etc!