Advertisements

Monday, May 18, 2015

Nkurunziza awafuta kazi mawaziri 3

Nkurunziza

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, amewafuta kazi mawaziri watatu, huku maandamano yakiendelea katika mji mkuu kufuatia jaribio la mapinduzi, juma lililopita.
Mawaziri walioachishwa kazi ni wa Ulinzi, mashauri ya nchi za kigeni na biashara.

Mapema hii leo, polisi walifyatua risasi hewani katika mji mkuu Bujumbura, kujaribu kuutawanya umati wa vijana uliokuwa ukifanya ghasia.

2 comments:

Anonymous said...

Uroho wa madaraka viongizi wa ki-africa utawatokea puani siku moja. Kama hamkujifunza kutoka kwa Gadafiiii basi subirini.

Anonymous said...

He is out of facts & touch..