ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 13, 2015

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YASAMBAZA MATOKEO YA SENSA WA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2012 KATIKA MKOA WA DODOMA

USAMBAZAJI DODOMA 1
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii Ephraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu akielezea umuhimu wa kufanya Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 iliyofanyika jana katika ukumbi wa Hazina ndogo Dodoma.
USAMBAZAJI DODOMA 2
Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 Hajjat Amina Mrisho Said akitoa maelezo mafupi kuhusu Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hazina ndogo Dodoma.
USAMBAZAJI DODOMA 3
Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Galawa akiwahutubia washirikiwa Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 iliyofanyika jana katika ukumbi wa Hazina ndogo Dodoma.
USAMBAZAJI DODOMA 4
Mmoja wa washiriki wa Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 akisoma Chati inayoonesha viashiria mbalimbali vinavyotokana na Sensa hiyo. Semina hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Hazina ndogo Dodoma.
USAMBAZAJI DODOMA 5
Baadhi ya washiriki wa Semina ya Usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 wakifuatilia kwa makini semina hiyo iliyofanyika jana katika ukumbi wa Hazina ndogo Dodoma. ( PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).

No comments: