Rais Mstaafu awamu ya Pili Alhaji Hassan Mwinyi akitoa salamu zake kwa wageni waalikwa wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ambapo jana alitimiza umri wa miaka 90.Sherehe hiyo ilifanyika katika hoteli ya Sea Cliff na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Mstaafu awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi kwa kutimiza miaka 90 wakati wa sherehe ya kuzaliwa kwake iliyofanyika katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam jana.Kushoto ni Mkewe Mama Siti Mwinyi.
Rais Mstaafu awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na familia yake watoto na wajukuu zake wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ambapo alitimiza umri wa miaka 90 jana katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaa.
1 comment:
msahallah anaukoo mkubwa na watoto wa bi mkubwa nadhani ndo wakubwa wakubwa.Allah awajaliye kila la kheir na masikilizanao na upendo amen. inaonekana bi mdogo hata bi mkubwa kwenye picha hawana furaha hawacheki na hasa hasa bi mdogo lakini dhana zangu tu miye na dhana mbaya.nisamehe bi mdogo
Post a Comment