Advertisements

Tuesday, May 26, 2015

RAIS WA ZANZIBAR, DK.SHEIN AFIWA NA DADA YAKE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na Viongozi mbali mbali katika mazishi ya Dada yake Marehemu Fatma Shein aliyefarika jana na kuzikwa leo katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Dada yake Marehemu Fatma Shein aliyefarika jana na kuzikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo,[Picha na Ikulu.]

1 comment:

Anonymous said...

inna lillah waina illahim rajiun;kwa hakika sote kuna siku tutarudi katika asili yetu ya udongo aliyetuumba mola wetu.hii ndo nyumba yetu duniani tunapita njia tuko wasafiri tutende wema twende zetu watu watukumbuke kwa wema wetu.kifo hakichagui tajiri,maskini,umarufu wako,usomi wako hakina mtoto wala mzee.tukumbuke haya.Allah amjaliye makazi mema dada yetu,mama yatu amin na sisi tuliopo bado hai.
pole sana dr shein na family yako yote.inna lillahi waina illahim rajiun.