Advertisements

Sunday, May 24, 2015

SENSEI RAMADHA FUNDI ATEMBELEA DMV, SHEHE HALAHALA ATINGA STUDIO BELTSVILLE, MARYLAND

Mashaka Bilal na Sensei Ramadha Fundi (kulia) vijana wa mtaa wa Agrey Kariakoo enzi hizo wakiwa wamekutana Washington, DC baada ya kutoonana zaidi ya miaka 32, Sensei Rumadha Fundi anaishi Texas na Mashaka Bilal anaishi Maryland. Hapa wakipata picha ya kumbukumbu baada ya kukutana Washington, DC siku Sensei Ramadha Fundi alipokuja jiji hilo maarufu kama Chocolate City.
 Sensei Ramadha Fundi akiwa ndani ya studio za Vijimambo Radio na Kwanza Production
 Dotto Haruna na Sensei Ramadha Fundi wakiwa studio
 Kushoto ni Shehe Halahala na Sensei Fundi wakiwa studio katika moja ya kipindi cha Radio.
 kushoto ni Mtangazaji Mubelwa Bandio na CEO wa Kwanza Production akiongoza kipindi cha Radio ndani ya Studio za Kwanza Production na Vijimambo zilizopo Beltsville, Maryland.

No comments: