Ni rahisi sana kumpata mwanamke mzuri,mwenye shape unayoitaka,mwenye sura nzuri ,sauti nzuri,nk..But ni vigumu kumpata mwanamke ambaye ameanza moja na ww kuanzia huna kitu mpaka unacho.ni vigumu kumpata mwanamke ambaye uwe nacho usiwe nacho yupo na wewe.
Ni vigumu kumpata mwanamke mwenye mapenzi ya dhati..ila leo hii wanaume wengi wamekuwa wakiwathamini sana wanawake wale ambao wanawaita warembo na kuwasahau hawa ambao wameanza nao moja...inauma sana coz nimeona mifano...WANAUME MPO?!
Shamsa Ford
2 comments:
Wanaume ni shidaaaaa,wakipata ,tu wanatafuta wanawake ,wengine ,sijui ,inakuwaje,kwa kweli hata ukiwapa ,mtindo wa,baba na mama bado wanakula nje.labda ,mtindo,wa vitumbua ndiyo ,wanapenda.,
umenene kweli tupu shamsa ford.na siku hizi hakuna mapenzi,mapenzi pesa kama nay wa mitego alivyo imba.
ukimuona mwanamme hakuthamini wala haridhiki na wewe ujue ni dna yake toka alipozaliwa huko kwao na kulelewa.
kuna wanaume walio tulia msisikike jamani si wote vicheche na michepuko.kuna waliofundwa kwao wakafundika na kuiva.seriously iam telling you guys.
Ninaye mimi wala si msifii but ni poa sana ana pesa,hansome ile mbaya na ananipenda ananiridhisha na muaminifu sana.na mshukuru mungu sana kwa kunipa mume huyu.
hii style ya vitumbua sijui ndo ipi hii ndo kwanza nasikia imenichekesha mmh.
poleni wanawake wenzangu kwa kuhangaika na kila style.yangu ya mbwa kachoka na anaridhika nayo.haya kwaherini.
Post a Comment