ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 13, 2015

Shilole: Huyu Ndio Mwanaume wa Maisha Yangu


Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole leo mtandaoni ameibuka na mtandaona na kuweka wazi kuwa mchumba wake Nuh Mziwanda ndio mwanaume wa maisha yake.
“Huyu nilienae pembeni yangu ndo baba yangu rafiki yangu faraja yangu ya moyo na anajua umuhimu wangu kuliko mtu yeyote yupo na mimi bega kwa bega ninapokuwa na furaha nahata ninapokuwa na majonzi mimi naweza sema ndo mwanaume wa maisha yangu naomba Mungu asije badilika nitaumia sana.Nampenda sana huyu mtu nyinyi mnamuta Nuh mimi namuita Jackson”-Shilole ameeleza.

Hili ni jambo jema,kila la kheri Shilole na Mziwanda kwenye maisha yanu ya mapenzi

2 comments:

Anonymous said...

Huo niumangaa na magumashi tupu baada ya miezi kadhaa utatuabia vingiyo. Tunakuelewa

Jay said...

Bongo movie at its best.....wanaongea tu kama hawajitambui wanajifanya wanamuiga Zitto Kabwe.