ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 20, 2015

Sifa na Utukufu kwa Mungu - Shukrani kwa Wote! - Ibada ya Kiswahili ~ Columbus, Ohio

Sifa na Utukufu kwa Mungu kwa Baraka za Watoto Kwaya kutoka Uganda waliotembelea Ibada ya Kiswahili 12 Mei 2015. Kipekee tunawashukuru Wanajumuiya wote kwa ushirikiano wako na kushiriki katika Tamasha hili. Mungu akubariki na kubariki huduma yako pia kwa kuwakarimu Watoto na wageni wote ~ Ibada ya Kiswahili ~ Mch. Ipyana Mwakabonga

Watoto Kwaya - Uganda

Watoto Kwaya wakikaribishwa rasmi na Watoto wa Ibada ya Kiswahili - Ohio ( Ian na Suzy)
na Uongozi wa Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio

Watoto Kwaya - Uganda

Watoto Kwaya - Uganda

Watoto Kwaya - Uganda
Watoto2015-9
Watoto Kwaya - Uganda
 
We Thank you Lord for the blessed Opportunity through Watoto Choir from Uganda. Many thanks to ALL that came to support Watoto. May God the Almighty continue to pour his blessings upon you. Ubarikiwe sana. IYK ~ Ibada ya Kiswahili Columbus

No comments: