Advertisements

Wednesday, May 27, 2015

Sitti Mtemvu kayajibu maswali yote? >> umri? Mtoto? mapenzi? sababu ya kujivua Taji? #Audio


Sitti Mtemvu kayajibu maswali yote?  umri? Mtoto? mapenzi? sababu ya kujivua Taji? #Audio Posted by: Newsroom TZA May 26, 2015 General News sitti Sitti Abbas Mtemvu alishinda Taji la Miss TZ mwaka 2014, muda mfupi baadae alitangaza kujivua Taji hilo baada ya mengi kusikika.. watu wakaandika na kuhoji kuhusu umri wake, elimu yake, madai mengine ni yale kwamba ana mtoto… aliwahi kuyajibu kwa nyakati tofauti, alikuwa Live kwenye show ya Nirvana @EATV hii ni sehemu ya majibu yake.
CREDIT:MILLARD AYO.COM

1 comment:

Anonymous said...

Sijui huyu dada alisomea kitu gani lakini nafikiri suala la kujieleza bado ni tatizo. Alipaswa kukubali au kukanusha kimoja kati ya cheti cha kuzaliwa au hati ya kusafiria na siyo kulazimisha watanzania kununua kitabu chale cha cyber bulling.