Aliyekaa chini ni kocha mchezaji M. Libe akiwa ameumia nyonga iliyompelekea kutoka kwenye mechi ya Tanzania na Senegal katika mashindano ya DMV World Cup yaliyofanyika Hyattsville, Maryland na timu ya Tanzania DMV kupoteza mchezo huo kwa bao 7-1 zidi ya Senegal
Beki wa Tanzania DMV akijaribu kumthibiti mchezaji wa Senegal katika mechi iliyochezwa Jumapili May 10, 2015 katika kiwanja cha Hyattsville.
Mchezaji wa Senegal akiumiliki mpira mbele ya mchezaji wa Tanzania DMV.
Mchezaji wa Tanzania DMV akimthibiti mchezaji wa Senegal.
Mchezaji wa Tanzania DMV akiwapenya wachezaji wa Senegal.
Mchezaji wa Tanzania DMV akimthibiti mchezaji wa Senegal
Moja ya mabao ya Senegal
No comments:
Post a Comment