Advertisements

Sunday, May 3, 2015

TASWIRA YA BBQ NEW YORK CITY JITIRIRISHE HAPA CHINI KIROHO SAFI


Mh. Balozi Tuvako Manongi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York. Pamoja na Dr. Elmi Ahmed Duale wakiwa kwenye BBQ hiyo maeneo ya Roosevelt Island New York. BBQ hiyo iliandaliwa kwa ushirikiana na New York Tanzania Community na Ubalozi wa New York. Na watu mbali mbali na familia zao karibishwa ilikufurahia hali ya hewa na kubadirishana mawazo. 

Mh. Manongi akipata ukodak pamoja na mkufunzi wa Miss U.S.A mama  Winne kutoka DC na Kushoto kwa Balozi na Mwenyekiti wa Community New York Hajji Hamis.

Mwenyekiti wa tawi la CCM New York Bwana Seif Akida akipata copy ya Miss U.S.A kutoka kwa mama Winne.

Mtaalam wa kuchoma nyama Bwana Lucas akiwa kazini kuakikisha watu wanakula nyama iliyo bora. Kwa taswira zaidi ya BBQ hiyo jitiririshe chini kwa kubopya soma zaidi kiriho safi.


No comments: