ANGALIA LIVE NEWS

Monday, May 11, 2015

WAKUU WA TAASISI ZA KUZUIA RUSHWA BARANI AFRIKA WAKUTANA ARUSHA KUANGALIA JINSI WATAKAVYOWEZA KUPAMBANA NA KUFIKIA MALENGO YA KUTOKOMEZA RUSHWA NDANI YA BARA LA AFRICA

SAM_2509Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa kutoka Ghana Mh.Daniel Batidam akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha katika ukumbi wa mikutano AICC katika kuangalia jinsi gani wataweza kupambana na kufikia malengo ya kutokomeza Rushwa ndani ya Bara La Africa.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
SAM_2498Makamu Mwenyekiti bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa Mh.Florince Ziyambi kutoka Zimbabwe
SAM_2494                Muongoza vikao kutoka Kenya Mh.John Tuta akitambulisha wajumbe
SAM_2497
SAM_2499SAM_2503
SAM_2514Mwaandishi wa habari Merry Mwita akiuliza maswali katika mkutano huo
SAM_2504            Muonekano ndani ya ukumbi
SAM_2506
SAM_2522
          Picha ya Pamoja


Wakuu wa taasisi za kuzuia Ruswa barani Africa wamekutana katika ukumbi wa mikutano AICC katika kuangalia jinsi gani wataweza kupambana na kufikia malengo ya kutokomeza Rushwa ndani ya Bara La Africa.

Wakuu hao ambao ni wajumbe wa Bodi ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa barani Afrika AUABC iliyopo chini ya jumuia ya muungano wa nchi za Afrika ambapo mwenyekiti wa Taasisi ya AUABC Jaji Daniel Batidam amesema kuwa wanatarajia kwa mkutano huu utasaidi kupunguza makali ya Ruswa ndani ya bara hili. 


Amesema kuwa kiwango kikubwa wanaangalia jinsi gani wataweza kuondoa ruswa katika taasisi za jamii kwa maana ndio zinazochangia kwa kiasi kikubwa maenbdeleo ya nchi zetu za kiafrika.

Pamoja na hayo amesema kuwa tatizo kubwa la Rushwa ndani ya bara la Afrika ni mfumo uliopo ambao unakuwa unaweka mianya ya rushwa pamoja na hayo alisisistiza kwa wananchi kuacha kutoa rushwa ili kuiondoa kabisa. Bodi hiyo imeundwa na watu 11 kutoka nchi mbalimbali barani Africa.

3 comments:

Anonymous said...

Are these people serious. A meeting? To plan how to protect the ruling classes? Exchange notes on how to swindle without being caught.

The most bizzare meeting I have ever heard

Anonymous said...

What a joke of a meeting

Anonymous said...

Hopefully the meeting has no sponsors