Advertisements

Wednesday, May 27, 2015

WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO AKUTANA NA BALOZI WA MALAWI ZANZIBAR.

  Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk  akisalimiana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Hawa O. Ndilowe wakati alipowasili Ofisini kwake kwaajili ya kujitambulisha pia na kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusuUtalii Zanzibar.
 Afisa Ubalozi anaeshughulikia masuala ya Uchumi Tanzania Chinvano Kapeleta akizungumzia masuala ya Uchumi na Utalii na Viongoizi wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar.
 Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akifafanua jambo katika mazungumzo na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Hawa O. Ndilowe wakati walipokutana Ofisini kwake Zanzibar.
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk katikati akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Malawi Hawa O.Ndilowe kulia yake na baadhi ya viongozi waliofika Ofisini kwake Zanzibar.PICHA ZOTE NA MIZA OTHMAN-HABARI MAELEZO ZANZIBAR.

No comments: