Natumai umesikia mafuriko yaliyotokea Zanzibar.
Zadia inakusanya michango kusaidia kupunguza machungu ya madhara ya mafuriko.
Tafadhali changia angalau $50.
Kumbuja ZADIA ni 501 c 3 na mchango wako ni Tax deductible. Tuarifu tukupe receipt itakayokuwezesha kutumia hiyo tax-deductible ukichangia.
Changia hapa na wasambazie marafiki zako:
Kama una masuali wasiliana na :
Mwenyekiti -Omar Ali 2154594449
katibu - Shamis Abdalla. (202) 509-1355
Uenezi- Haji Jingo (818) 493-0815
Msaidizi - Abuu Shatri. (301) 728-3977
3 comments:
Jamani hili ni janga la TANZANIA na SI ZANZIBAR tu.....MBONA ubaguzi??? Shinyanga dar kote mafuriko. TUACHE HIZo
Mdau hapo juu, swala sio ubaguzi wenzetu wa Zanzibar wao wamepatwa na janga hili mapema tu kabla ya huko Bara! Chakutiamoyo mara tu ya janga hilo kutokea , wenzetu wakaanza kutafuta misaada ya hali na mali ! Sisi wa bara baada ya janga hili kutokea wenzetu wa Zanzibar walishatoa na tangazo lakuomba misaada kitambo! Mimi binafsi nimekusamehe maana habari hii hukuiona umuhimu wakuisoma hapo mwanzo mpaka janga lilipoingia huko Bara ndio umeona umuhimu wake! Chamsingi hujachelewa hapo ulipo unaweza kukusanya msaada pia kwa waathilika kama kweli una nia safi !
Mdau wa kwanza hapo juu umekosea sana. Kote kule wana uamuzi wa kujiombea msaada siyo lazima wakiomba mahali Fulani na mahali Fulani pia waombe, inategemea na mwamko wa sehemu hiyo....Achana na mambo ya ujamaa kuwa sehemu Fulani haina ruhusa ya kufanya mambo yake bila sehemu nyingine kufanya kwanza. Wenzetu wa Unguja wana mwamko....sisi hatuna, sasa kosa la nani????
Post a Comment