Mkuu wa Utawala wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bibi Lily Munanka wa pili kulia pichani pamoja na mabalozi wengine walipotembelea bandari ya Philadelphia ambayo inapokea bidhaa nyingi kutoka Afrika hasa mazao ya kilimo.
Bibi Munanka akizungumzia kuhusu Tanzania na fursa zilizopo kwenye mkutano wa African Business Roundtable.
Bibi Munanka akijadiliana jambo na mwakilishi kutoka ubalozi wa Afrika Kusini kwenye mkutano wa The Global African Diaspora Tourism.
Mwakilishi wa Ubalozi, wa kwanza kushoto pichani Bibi Munanka pamoja na baadhi ya mabalozi wakisikiliza kwa makini mada inayowasilishwa na mmoja wa mabalozi kutoka nchi za Afrika kwenye mkutano wa Global African Diaspora Tourism Initiatives uliofanyika jijini Philadelphia.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA UBALOZI.

No comments:
Post a Comment