ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 20, 2015

Balozi Mulamula azungumza na Balozi wa Ufaransa nchini


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Malika Berak, alipokuja kujitambulisha na kumpongeza Balozi Mulamula kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu. Pia walizungumzia masuala mbalimbali ya kimaendeleo na kukuza mahusiano ya kibiashara kati ya nchi hizi mbili

Katibu Mkuu Balozi Mulamula akimwonyesha Balozi Berak Kitabu kinachozungumzia maendeleo ya Mji wa 
Kilwa
.
Afisa Mambo ya Nje, Bi. Felisita Rugambwa akinukuu mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea kati ya Balozi Mulamula na Balozi Berak (hawapo pichani)

Mazungumzo yakiendelea.

Picha na Reginald Philip

No comments: