Mdau Hamisi Mrisho Mohamedi mzawa wa Kariakoo ambaye pia ana makazi yake kule Segerea Jiji Dar,siku ya Ijumaa 19 Juni 2015 alifunga ndoa na Bi.Rehema Joachim Milanzi mkazi wa Segerea,Dar.mdau Hamisi Mrisho Mohamedi kaachana kabisa na klabu ya Makapera aka Bado nipo nipo Club na fanikiwa kupata mama mwenye nyumba Bi.Rehema Milanzi, harusi hiyo ilifanyika Masid Kubah iliyopo Segerea mwisho,Dar-es-salaam,tunawatakia maisha mema maharusi.





No comments:
Post a Comment