ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, June 21, 2015

COCKTAIL YA EAST AFRICA ALBAN, NEW YORK

Wadau mbalimbali wakianza kuwasili kwenye bash la harambee na chakula cha jioni ya Jumuiya ya Afrika Mashariki mji wa Albany, New York iliyofanyika siku ya Jumamosi April 20, 1015 na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wadau wengine toka majimbo ya jirani. Jumuiya hii ya Africa Mashariki inajumuisha nchi tano Kenya, Tanzani, Uganda, Rwanda na Burundi.
 Vibanda vya wajasiliamali wakiwa nje ya ukumbi wakati wa cocktail ilipokua ikiendelea.
Wadau wa Africa Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja.
 Vibanda vya wajasilia mali.
Kwa picha zaidi za Cocktail bofya soma zaidi


No comments: