Esther Brown kutoka Uganda mmoja katika uongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Albany, New York akitoa utambulisho kwa viongozi wa Jumuiya hiyo katika sherehe ya harambe ya chakula cha jioni ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Albany jimbo la New York, Jumuiya ikiwa inajumuisha nchi tano ambazo ni Rwanda, Burundi, Tanzania, Uganda na Kenya.
Makamu wa Rais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt Mike Kiyabo akiojitambulisha na baadae kumkaribisha Rais wa Jumuiya hiyo.
Rais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Robert Ndede akiongea na wageni waliohudhuria sherehe ya harambee na chakula cha jioni iliyofanyika katika hotel ya Holiday Inn siku ay Jumamosi June 20, 2015.
Msemaji mkuu Bwn. Robert McNamara akiongea.
Congressman Mhe. Paul D.Tomko nae akiongea kwenye harambee ya chakula cha jioni ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
Makamu wa Rais wa Jumuiya Dkt. Mike Kiyabo (kushoto)akiwa na Rais wa Jumuiya Bwn. Robert Ndede
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi.
No comments:
Post a Comment