Mkurugenzi Mkuu wa Mandai Herbalist Clinic, Dk. Abdallah Mandai
Kuna wakati huenda huwa ukawa unajikuta ukipitisha siku mbili au tatu bila kwenda msalani kupata haja kubwa, huenda ukawa haufahamu ni kwanini hali hiyo inakutokea au ilikutokea.
Lakini hapa Dk Mandai anakupa fursa ya kufahamu kuhusu tatizo hilo la kukosa choo ambalo wenzetu wazungu huliita 'consumption'. Karibu utazame kipindi hiki hapo chini ujifunze mengi pia kuhusu tiba asilia zitokanazo na mimea, matunda, nafaka na mitishamba.

4 comments:
Wazungu wa wapi wanaoliita hilo tatizo "Consumption"? Au ulitaka kusema constipation?
It's not "CONSUPTION"......it's called CONSTIPATION
NI CONSTIPATION DR.MANDAI SIO CONSUMPTION.
kwa kweli nimenufaika sana na somo hili niko nje ya tanzania lakini nitafajitahidi kufuatilia maelekezo kuhusu ubuyu na tangawizi maana ninatatizo kubwa la kupata choo. nikija Dar nitakutafuteni kwa kweli. shukrani nyingi.
Post a Comment