ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 18, 2015

KHERI YA MFUNGO WA RAMADHAN KUTOKA NEW YORK


KHERI YA MFUNGO WA RAMADHAN KUTOKA NEW YORK.
 Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inawatakia Wanajumuiya wake pamoja Na waumini wote wa Dini ya Kiislam Mfungo mwema wa Mwezi mtukufu wa Ramadhan. Jumuiya pia inasisitiza mapenzi,ushirikiano na mshikamano baina yetu ili ibada hii iwe yenye mafanikio. Tunamuomba Mwenye Enzi Mungu akupeni afya,faraja na uwezo wa kuifanikisha ibada hii ya Funga katika Kipindi hiki cha jua Kali...
Ameen. 
Hajji Khamis Mwenyekiti Jumuiya ya watanzania New York.

1 comment:

Anicetus said...

Mwezi huu wa ramadhani umeanza na ishara ya kuwaita wantanzania wanaoishi New York na vitongoji vyake kwa kuonyesha ushirikiano wao wa kuwa pamoja wakati wa huzuni na furaha. Kwa huzuni ilyopo sasa, mweneyzi mungu anawajaribu kwa kuwachukulia Meee Magege akiwa kwenye mikono yenu. Sasa ni wakati wa kuonyesha mapenzi yenu kwa kutoa michango ya kumpeleka huyu Mzee Magege apumzike huko peponi na familia yake iwe na amani.