BOTI ya Kilimanjaro V ikishushwa katika Meli ya
Thorco Clairvaux ikitokea Nchini Australia , boti hiyo ilishushwa nje kidogo ya
Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar na tayari imeshazinduliwa rasmi kuanza safari
zake.
Picha na Haroub Hussein.
BOTI ya Kilimanjaro V ikitua katika maji ya bahari ya Hindi leo
BOTI ya Kilimanjaro V ikielekea gatini Malindi, Zanzibar, tayari kwa uzinduzi.
No comments:
Post a Comment