ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 24, 2015

KINANA AKIHUTUBIA WAKAZI WA JIMBO LA MISUNGWI MKOANI MWANZA


1 comment:

Anonymous said...

Mh.Kinana asane sana tumekusiskia sana lakini kusema ukweli umekuwa ukiiongoza CCM katika hali ya kudanganya wananchi na baada ya kupata kura mnatusahau saaana. Hakuna kinachoonekanika kufanyika barabara zetu mbovu hata kusafirisha mazao ni shida, masoko yetu tunaweka bidhaa chini kodi tunalipa kila siku iendayo kwa Mungu. je namna hiii taifa linaelekea wapi???