ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 23, 2015

Niambie Live Show EP7

 Karibu kwenye kipindi hiki cha NIAMBIE LIVE
Kipindi kinachozungumzia mambo mbalimbali yaliyochukua nafasi za juu kwenye mitandao ya kijamii.
Na mgeni mwalikwa ni Dotto Malongo
Ni Niambie Live....
KARIBU

2 comments:

Anonymous said...

Ndg wana "Tuambie live" hadi tarehe ya leo 25 June 2015 watangaza Nia kupitia CCM ni 39 hata darasa la saba wamo. Hii ndiyo sasa ya Bongo .Swali la kujiuliza ni kwamba hawa watu
ni kweli watu au maize mauza ya kisiasa. Tuambie endeleeni kujadili hili kwa undani. Mdahalo wa kisiasa na uchumi uliofanyika hapa Dar es Salaam walikacha. Lakini leo kwenye majukwaa wamo. Ni kina nani hawa? .....