Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Biharamulo mjini.
Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake ya ya siku 10 ya kukagua,kuhimiza na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama katika mkoa wa Kagera kwa mafanikio makubwa.
Katika ziara hiyo Kinana amemaliza ziara hiyo leo Julai 14, 2015, baada ya kutembea jumla ya kilometa 3374, akiwa ametembelea majimbo yote tisa katika wilaya zote nane za mkoa huo.
Ziara hiyo imeonyesha kuwa na mafanikio makubwa kwa kuingiza CCM wanachama wapya 5678 kati ya wanachama 488 wakiwa wamehama kutoka vyama vya upinzani vikiwemo Chadema, CUF na NCCR Mageuzi.
Katika ziara ya mkoa wa Kagera, ambako amesafiri kwa gari nchi kavu na mitumbwi kwenda katika visiwa vitano, amefanya mikutano 74 kati yake ikiwemo mikutano 63 ya hadhara na kuzindua miradi 46, 41 ikiwa ni yamaendeleo ya wananchi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Biharamulo mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa mwisho wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Kazi na Dawa!!! Wauza ndizi katika soko la Biharamulo mjini wakisikiliza kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana .
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kikoma ambao waliusimamisha msafara wake wakitaka majibu ya hoja zao.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akielekea kwenda kuona mradi wa maji uliopo Nyakahura ambao ulitegemewa kusaidia vijiji vinne ,shule, vituo vya afya na polisi, badala yake unatoa huduma kwenye shule moja tu,mradi uliogharimu shilingi za Kitanzania bilioni 1.4
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisoma bango lenye malalamiko ya kukosa maji lilioandikwa na wakazi wa kata ya Nyakahura kwenye mkutano wa hadhara .
(Picha zote na Adam Mzee)

No comments:
Post a Comment