
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkomo maelfu ya wanaCCM na wananchi wa Mkoa wa Tanga, waliojitokeza kwa wingi kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi, Mkoa wa Tanga leo Juni 17, 2015. zaidi ya WanaCCM 204,125 wamemdhamini Mh. Lowassa, ili aweze kuteuliwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.


Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akitoa shukrani kwa WanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Tanga, walijitokeza kwa wingi kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi, Mkoa wa Tanga leo Juni 17, 2015, ambapo zaidi ya WanaCCM 204,125 wamemdhamini Mh. Lowassa, ili aweze kuteuliwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.


Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za ziada yenye majina ya WanaCCM waliomdhamini ili aweze kuteuliwa na CCM kuwania Urais wa Tanzania, kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. anaekabidhi fomu hizo ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Tanga, Mathew Mganga akikabidhi.
2 comments:
Mstaafu kwa manufaa ya uma .Aendelee kuwa mstaafu mpaka aitwe.
Huyu fisadi akiteuliwa kugombea na hatimaye kushinda uchaguzi basi ni dhahiri kwamba Tanzania haitakaa ishinde vita dhidi ya rushwa hadi hapo vizazi vyote vilivyopo sasa hivi vitakapopita na vizazi vingine kuingia. Inasikitisha kuona mtu aliyehusishwa na deal chafu iliyotikisa nchi nzima ndiye anashabikiwa kwa sana tena kana kwamba alichokifanya kilikuwa mfano wa kuigwa!
Post a Comment