Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipita mitaa ya Mjimkongwe kuendelea na ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Mjini
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipita mitaa ya Mjimkongwe kuendelea na ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Mjini
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwajuilia hali na kuwafariji baadhi ya wagonjwa katika mitaa ya Jang’ombe, Nyerere na Kwamtipura katika ziara yake ya kutembelea wagonjwa.

Msafara wa Maalim Seif ukipita mitaa ya Mboriborini na Shaurimoyo kuendelea na ziara ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya Mjini. (Picha na Salmin Said, OMKR)

1 comment:
Mh. Maalim Seif tatua chanzo cha tatizo na si matokeo. Hao wagonjwa wanatakiwa kuwa sehemu safi zenye uangalizi mzuri za hospitalini wakipatiwa dawa na uangalizi wa karibu wa madaktari. Wewe na wenzako mnatakiwa muache kuzurura na kutumia magari ya kifahari badala yake mjenge hospitali na kuimarisha zilizopo ili hawa wagonjwa wawe sehemu salama.
Ni aibu kubwa sana wewe kama sehemu ya serikali kufanya unayoyafanya badala ya kutatua chanzo cha hawa ndugu zetu kutesekea majumbani badala ya mahospitalini. Hebu ona watu wanaishi kwenye makazi duni sana wakati ninyi mnatembelea magari ya kifahari na kwenda safari za nje. Inauma sana kwa kweli.
mdau
UK
Post a Comment