ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 9, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA TAMASHA LA BULABO KABILA LA WASUKUMA MKOANI MWANZA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwapungia Mkono wananchi wa Kijiji Cha Kasesa wilaya ya Magu wakati alipowasili Uwanjani hapo kuzindua Tamasha la Kimila la wasukuma Mkoa wa Mwanza   jana Tarehe 7/6/2015
 Makamu wa Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akipiga Ngoma ishara ya Kuzindua Sherehe za  kimila za kabila la wasukuma zilizofanyika  kwenye kijiji  cha kisesaWilayani Magu Mkoa wa Mwanza jana
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Dkt Mohammed Ghar Bilal  akishika jiwe la kutengenezea chuma wakati wa Uchifu kulia ni Mkurugenzi wa kituo cha Bujora Askofu Fabian Mkoja alipotembelea Maonyesho hayo Kijiji cha Kisesa wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza jana tarehe 7/6/2015 

1 comment:

Anonymous said...

mkuu huyu mbona hajatia nia,anafa sana kuwa raisi huyu