ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 9, 2015

HUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM CHAWATUNUKIA TUZO DR MENGI.MILLAR AYO,SHERIA NGOWI , DIAMOND PLATINUMZ NA ZITO KABWE

Mwenyekiti wa chama cha wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko cha chuo kikuu UDSM ( DUMA ) ndg DOcta Uliwmengu akitoa hotuba fupi ya ufunguzi wa kongamano la wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko na biashara lilifofanyika Jumamosi tarehe 6  hapa chuoni  UDSM na kukutanisha wanataaluma wengi pia wajasiriamali waliofanikiwa na kuweza kukutanisha vyuo mbalimbali ikwemo UDSM , IFM, CBE, na TIA
Mlezi wa chama cha wanafunzi   wanaosoma masomo ya biashara na masoko kutoka chuo kikuu UDSM Ndg David Rweikiza akiwakaribisha wanafunzi na wageni waalikwa katika Kongamano hili lilifonyika jumamosi tarehe 6 katika viwanja vya UDSM
Mmoja wa wanafunzi wa chuo kikuu Udsm akiuliza swali kwa Niki wa pili (hayupo pichani) ambaye alikuwa ni mzungumzaji katika kongamano hili huku akiwahamasisha vijana kujiajiri kwa kutumia vipaji na elimu zao

Mkurungezi wa taifa wa kaymu tz Ndg Morgan  akitoa elimu kuhusu biashara ya kutumia teknolojia ya mtandao na jinsi gani vijana wanaweza kutumia mtaji kidogo kuweza kutangaza na kuuza bidhaa zao

Wakili wa kujitegemea Ndg Alberto Msando akitoa elimu kwa wanafunzi na wajasiriamali kuhusu HATIMILIKI na jinsi gani wafanyabiashara waaweza kutunza hatimiliki zao katika biashara katika kongamano  lilifanyika katika chuo kikuu cha Dar es salaam na kuhudhurriwa na mamia ya wanafuzni wa udsm na vya karibu
Mkurungezi wa clouds media group Ndg Ruge Mutahaba alikuwepo pia katika kongamano hili akitoa elimu kuhusu nguvu ya vyombo vya habari kwenye tasnia ya masoko na biashara pia jinsi gani vijana wanaweza kutumia vipaji kujiajiri
Umati wa wanafunzi kuttoka chuo ikuu cha Dar es salaam na vyuo vya jirani ukisikiliza aamada kwa makini kutoka kwa wachangiaji mahiri na wanataluma ya masoko kwa muda mrefu wakihamasiha vijana waweze kujiaili kwa kutumia fursa nyingi za mitandao ya kijamiii
Mkurungezi wa Authentic media group Ndg Max Rioba akiwahamasiha vijana kuweza kutumia vipaji vyao kama sauti na kuweza kutengeeneza ajira 
Mwenyekiti wa chama cha wanafunzi wanaosoma kitivo cha masoko cha chuo kikuu UDSM ( DUMA ) ndg DOcta Uliwmengu akitoa historia fupi ya TUZO za ACHIVERS AWARDS  katika  kongamano la wanafunzi wanaaosoma kitivo cha masoko na biashara lilifofanyika Jumamosi tarehe 6  hapa chuoni  UDSM na kukutanisha wanataaluma wengi pia wajasiriamali waliofanikiwa na kuweza kukutanisha vyuo mbalimbali ikwemo UDSM , IFM, CBE, na TIA
Mkurunezi wa IPP media Dr Regnald  Mengi akitoa hamasa wanafunzi kwueza kutumia fursa kuweza kutengeneza mawazo ya kibiashara katika kongamano la wanafunzi wanaosoma masoko na biashara 
wanafunzi wakifautilia kwa makini kongamano hili la marketing forum lilifnayika mwisho ni wa juma hilii siku ya jumamosi katika chuo kikuu cha D ar es salaam

ukumbi mzima uliripuka kwa nguvu kufuatisha maneno aliyokuwa anayasema Dr Mengi             kuwa katika kitabu chake kipya anachotegemea kukizindua mwishoni mwa mwaka huu  yanayosema I WIL, I MUST and I CAN katika kongamano hili

Dr Kitila Mkumbo akipokea tuzo ya mwanasiasa anayependwa sana na mwenye mvuto kwa jamii ambayo tuzo ilienda kwa ZITTO KABWE

Mlezi wa chama cha wanasoma masoko katika  udsm ndg David Rweikiza akitoa tuzo kwa mwanamitindo anayependwa ambayo tuzo ilienda kwa sheria ngowi lakini ilichukuliwa na mwakilishi kwa kuwa sheria ngowi kuwa na safari ya kikazi south africa

No comments: