Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Ofisini kwake, Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya TBEA, Zhong Yanmin, wakati alipofika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 30, 2015 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya TBEA, Zhong Yanmin, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 30, 2015 kwa ajili ya mazungumzo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya TBEA, uliofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 30 2015 kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya TBEA, Zhon Yanmin (kulia) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 30, 2015. Kushoto ni Mkarimani wa Makamu Mwenyekiti huyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Ujumbe wa Kampuni ya TBEA, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 30, 2015. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment