ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 8, 2015

MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS WA CCM KUTOFIKA

IMG-20150608-WA0032
Leo June 08 2015 kulikuwa na mdahalo wa Wagombea wa Urais TZ ambao wanawakilisha CCM.. Mdahalo ulianza saa moja jioni Hyatt Regency Dar lakini Wagombea wengi hawakufika aliyefika ni Mgombea mmoja tu, Balozi Amina Salum Ali, wapo waliotoa sababu za kutofika lakini wengine hakukuwa na taarifa yoyote.
Ali Mufuruki ni mwenyekiti wa Waandaaji wa Mdahalo huo, hiki ndio alichokisema baada ya kutokea kwa hali hiyo>>>”Sauti yake nimeirekodi pia na unaweza kuisikiliza hapa.CREDIT:MILLARDAYO.COM

2 comments:

Anonymous said...

Hawa ni wahuni na wala hawana jipya.

Anonymous said...

Wagombea wote wasanii wanaogopa nini transparent sasa? Waje mbele wajibu maswali..vijimambo mnabnia sana comments za maana