ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 2, 2015

MSAFARA WENYE MWILI WA MAREHEMU SAMUEL LUANGISA WAACHA HUZUNI BUKOBA



Gari lenye mwili wa marehemu Samuel Luhangisa lililosindikizwa na msafara mrefu wa magari,na pikipiki nyuma yake limeacha huzuni kubwa kwa wakazi wa mji wa Bukoba.Msafara huo ulikatiza katika viunga vya mji huo ikiwa ni safari yake ya mwisho kabla ya kupumzishwa katika nyumba yake ya milele tarehe 3/Juni/2015.Marehemu Samuel Luangisa ni miongoni mwa waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi(Kagera)Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.


Mwanafamilia Paschazia Barongo 
Mjane wa marehemu Luangisa

No comments: