![]() |
| Naibu Katibu mkuu wa Chdeama taifa upande wa Zanzibar Salum Mwalimu akizungumza wakati wa mahafali ya Chaso mkoa wa Kilimanjaro yaliyofanyika katika shule ya sekondari Majengo. |

Baadhi ya wanachama wa Chaso kutoka vyuo mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katimsikiliza Naibu katibu mkuu wa Chadema taifa,upande wa Zanzibar Salum Mwalimu wakati wa sherehe za umoja huo.
![]() |



No comments:
Post a Comment