ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 19, 2015

Rais Kikwete afanya Mazungumzo Rasmi na Wziri Mkuu wa India


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Wziri Mkuu wa India Narendra Modi katika ikulu ya New Delhi muda mfupi kabla ya kuanza mazungumo rasmi(official talks) leo asubuhi.

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo rasmi(Official talks) na Waziri Mkuu wa India na viongozi wandamizi wa serikali yake katika ikulu ya New Delhi India leo mchana

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ikulu ya New Delhi India baada ya viongozi hao wawili na ujumbe wao kufanya mazungumzo rasmi

No comments: