ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 17, 2015

Rais Kikwete awasili India kwa Ziara ya Kiserikali

Mtoto wa kitanzania anayeishi nchini India Nasra Yahya mwenye umri wa miaka(11) akiwakaribisha kwa ua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili jijini New Delhi India leo kwa ziara ya kiserikali(State Visit) ya siku nne.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini India Bwana Yahya Mhatta muda mfupi baada ya kuwasili jijini Delhi India leo.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini India Mhandisi John Kijazi(picha na FreddyMaro)

2 comments:

Anonymous said...

He leaves his presidency just like he entered traveling the world. Safari hadi dakika ya mwisho what an embarrassment

Anonymous said...

Mwache huyo bingwa wa watu utamweza wapi?