

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa
Vyombo vya Habari (MOAT) Dkt Reginald Mengi wakiongea na kubadilishanma mawazo Ikulu, Jijini Dar es salaam katika hafla ya kutunuku nishani
kwa watumishi wa umma na wananchi waliofanya vyema na kwa uadilifu kwenye sehemu zao za kazi. Dkt Mengi alikuwa mmoja wa watu mashuhuri walioalikwa
hapo Ikulu.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment