Advertisements

Saturday, July 11, 2015

RATIBA YA FUTARI YA PAMOJA WASHINGTON DC- TAMCO



Assalam Alaykum, Wa Rahmatullah, Wa Barakatuhu

Uongozi wa Tanzanian Muslim Community Washington DC Metro (TAMCO) unawakaribisha 

kwenye Kufuturu Kwa Pamoja Kila Jumammosi na Jumapili za Mwezi wa Ramadhani.

Tunaombwa tuudhurie na tuwajulishe wengine wote:- 
KILA
Jumamosi 
Jumapili

Indian Springs-Terrace Park Activity Building

Address:  9717 Lawndale Drive, Silver Spring, MD 20901

Muda ni Kuanzia Saa Moja ya Usiku Mpaka Saa Nne Usiku. 7PM – 10PM

Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi:

Ali Mohamed       301 500 9762 

Asha Hariz          703 624 2409

Shamis Abdullah   202 509 1355

RAMADHAN KAREEM

No comments: