Flora Mochiwa au ukipenda madikodiko akiwa na mpambe wake kwenye sherehe ya kumtoa Bi. harusi mtarajiwa (send off party) iliyofanyika siku ya Ijumaa June 19, 2015 katika ukumbi wa IMASCO uliopo Temeke jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na ndugu, jamaa na marafiki Flora Mochiwa ni mkaazi wa Houston, Texas na harusi rasmi itafanyika mwisho wa mwaka huu jijini H-Town (Houston) Texas nchini Marekani.
Flora Mochiwa akiwa na mpambe wake kwenye sherehe ya kumtoa Bi. harusi mtarajiwa iliyofanyika siku ya Ijumaa June 19, 2015 IMASCO iliyopo Temeke jijini Dar.
Flora Mochiwa na mpambe wake wakijiandaa kukata keki.
Walimbwende wakipata ukodak moment
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi






















No comments:
Post a Comment