ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 18, 2015

TANGAZO LA MWALIKO WA KUFUTARI NYUMBANI KWA BILAL KILA JUMAMOSI.

Bilal na familia yake wanapenda kutoa mwaliko kwa muislam yeyote kufika nyumbani kwake na kufutari pamoja. Kila Jumamosi, Address ya kwa Bilal ni":
 341 LOGAN ST Apt 2
Brooklyn NY 11208  
kwa kila mwenye kuweza kufika nitashukuru sana Asanteni

1 comment:

Anonymous said...

Weka na namba yake ya cm