Hayo anayozumza ndio anatuonyesha mambo atakayokuwa anayapeleka bungeni. Ninawasikitikia sana wananchi wa Singida, poleni sana. Kweli bongo tuna safari ndefu saaaaana ya kwenda kwenye middle class economy, MUNGU atusaidie. Hivi kuna jambo gani la maendeleo linaloweza kuletwa na huyo mbunge mtarajiwa, au maboyfriends? Kazi kweli kweli!
Uwezekano wa kufanikiwa ni mkubwa hasa ukizingatia vetting ya uongozi Tanzania, elimu si muhimu ilimradi mtu ajue kusoma & kuandika, kashfa si muhimu kwakuwa watanzania ni wasahaulifu sana,uadilifu si muhimu. Vigezo vinavyohitajika ambavyo viko ndani ya uwezo wake ni,umaarufu, mtandao kumbuka kuna team Wema, na rushwa ya namna yoyote ile..
3 comments:
Safi sana Mbunge mtarajiwa!! Yani hiyo sauti yako na unavochanganya lugha mara English, mara Swahili mbona Bungeni watakoma!!

Post a Comment