Advertisements

Wednesday, July 22, 2015

BALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN WA KUIMARISHA MASUALA YA USHIRIKIANO KATIKA AMANI, USALAMA NA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA ZANZIBAR

Vijana wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano huo kulia Ali Hamad Suleiman na Rukaiya Rashid Kombo. uliofanyika katika ukumbi wac hoteli ya Zanzibar Beach Resorty Mazizini Zanzibar na kufunguliwa na Balozi Ali Ali Iddi kwa niaba ra Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein
Viongozi wa meza kuu wakisimama wakati wa kuimbwa kwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliowashirikisha Marais Wastaafu, Viongozi wa Dini na Vijana kutona Nchi za Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resorty Mazizini Zanzibar.

Viongozi wa Dini wakisimama wakati wa kuimbwa kwa wimbo wa Taifa wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh Saleh Omar Kabi akisoma Dua wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Kiongozi wa Dini ya Kikristo akiuombea Mkutano huo wakati wa ufunguzi wake katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifungua Mkutano huo wa Kuimarisha Masuala ya Ushirikiano katika Amani Usalama na Maendeleo kwa Nchi za Afrika Mashariki kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, uliowashirikisha Marais Wastaaf Viongozi wa Dini na Vijana uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Karume mwenyeji wa Mkutano huo wa Kuimarisha Masuala ya Ushirikiano katika Amani Usalama na Maendeleo kwa Nchi za Afrika Mashariki, akizungumza wakati wa ufunguzi katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resorty Mazizini Zanzibar, uliowashirikisha Marais Wastaaf, Viongozi wa Dini na Vijana.
Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhe Raila Omolo Odinga akihutubiwa mkutano huo wakati wa ufunguzi wake katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar
Rais Mstaafu wa Zambia Mhe Rupia Banda akihutubia mkutano huo wakati wa ufunguzi wake uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, ulifunguliwa na Balozi Seif Ali Iddi kwa Niaba yake.
Viongozi washiriki waalikwa wa Mkutano huo wakifuatilia hutuba ya ufunguzi.
Washiriki wa mkutano huo wakifuatili ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort mazizini Zanzibar.

No comments: