David E. Kassiane wa Brooklyn. Ny
I am grateful for all the blessings and birthday wishes . Please join me this weekend so we can celebrate together my people. Love you all and you are all welcome.
I am grateful for all the blessings and birthday wishes . Please join me this weekend so we can celebrate together my people. Love you all and you are all welcome.
BAADA YA IJUMAA SASA ITAKUWA LEO JUMAMOSI TAREHE 18 MUDA NA SEHEMU NI HIYO HIYO TROPICAL GRILL AND LOUNGE 153-41 ROCKAWAY BLVD, JAMAICA NY 11434.


10 comments:
Happy birthday David: Live longer with pleasure.
Happy BDAY Sir. Lakini wabongo achene upuuzi wa self-coronation! Hizo titles za CEO's kila mbongo hapa Marekani anapenda kujivalisha ni very superficial. What is important is the product coming from Business, Company, Firm, or whatever entity your are running. I don't mean to disparage all those title seekers; but we need substance for heaven-sake!
So,watu wa Marekani kujiita CEO's inakukera,lakini walioko Bongo wanaojiita ma-Dr,Profesa,Billioners bila tija haikusumbui?
In supporting anonymous 1 , during Nyerere leadership and tenure, all Tanzanian were addressed by the word "Ndugu" regardless of social status. however,s socialism ideology faded, capitalism took the position of the colonialism ego based on academic and financial status: in short, as we a living in a globalized - capitalistic -material world, individual social status recognition is a matter of survival.
-------------------------------------------------------------------
CLASS IN AFRICA : ANALYTICAL PROBLEMS AND
PERSPECTIVES
.. position usually starts with the assertion that traditional
African societies were strongly egalitarian in character and had an
absence, or a low level, of stratification. The concepts of "African
humanism", "traditional collectivism", SCkou TourE's ommunaucratique" and Nyerere's "ujamaa" all proclaim the absence of social classes. Nyerere indeed states that African languages did not have the vocabulary to embrace a class concept..( Robin Cohen, n.d, p. 231)
reference: file:///C:/Users/User/Downloads/5312-7187-1-PB%20(1).pdf
DJ Luke, maoni yangu ni kwamba comments nyingine hazinaga tija/mantiki/hekima kwa msomaji. Mtu yeyote aweza kutoa mawazo au kuwakaribisha watu kwenye shughuli zake. Ni uungwana gani huu DJ Luke kupeana vimafundisho visivyo na future. Anonym namba mbili ajitahidi kwenda na wakati. Utanda wazi wa maisha na uchumi plus Elimu ya mtu mhusika wa kizazi hiki ni vema kujitambulisha kwa titles kwanza ili tukujue wewe ni nani?
Ano. 3.52am - Nakupa pole sana kwa kuonyesha jinsi gani ulivyo na elimu na uelewa mdogo sana katika maisha.
Baada ya kusoma maoni yako nimegundua mambo kadha uliyonayo:
- Hujaenda shule kabisa, ndio maana unaweza ukatoa maoni hata mototo wa darasa la saba kule bongo hawezi kuandika.
- Hujawahi kufanya biashara yoyote ile hata ya kuuza karanga katika maisha yako.
- Ni roho ya wivu inayokusumbua, kwa kuwa huna kitu chochote unachoweza kukisimamia zaidi ya kupiga box na kusaidia wagonjwa & watu wasiojiweza huku ughaibuni.
Kimsingi, ukianzisha biashara yoyote ile ya halali iwe ni Marekani au bongo au popote pale duniani, ni lazima uwe na Mtendaji Mkuu wa biashara hiyo. Kwa upande wa Tanzania na nchi kama Uingereza wao wanatumia sana jina la Mkurugenzi Mkuu (DG) au Mkurugenzi Mtendaji (MD). Kwa nchi nyingine kama Marekani wao wanatumia Afisa Mtendaji Mkuu (CEO). Sasa basi kwa biashara yoyote halali iliyosajiliwa kisheria ni lazima utaona haya majina, na si kuwa mtu anataka kujivuna na kujivalisha vyeo tuu.
MUNGU akusaidie sana uweze kwenda shule na kuondoa huo ujinga ushamba uliotoka nao bongo, ambao umeweza kuuonyesha mbele za watu. Ni aibu.
Nakuunga mkono weye hapo. Nipo hapa India kwa wahindi weusi na wasomi wa wastani. Mambo ni hayo ya title kwanza. HOUSE BOY - HB , HOUSE GIRL - au SHAMBA BOY-SB hawawezi kubadili title zao huku wangalipo hivyo. Tutaendelea kuwatambua hivyo na kuwatambulisha hivyo. Hawatabadilika na kutiwa Baba mwenye nyumba au mama mwenye nyumba ng'o oooh lazima tutazingatia protocol. Hivyo Tutaendelea kuwajulisha umma kupitia muktadha wa kima taifa na siyo as a local s. Nawasilisha hoja.
Jamani Kuna wengine humu mnaongea kiingereza kigumu. Tuoneeni huruma na sisi wa huku myumbani TZ.
Okay, dear above, I am Anon. @ 3:52 A.M! As I stated previously, my intent was not to disparage title-seekers! Don't be discouraged by my opinion, suggestion, and viewpoint. This is, the United States of America, the land of the free, which embraces Freedom of Speech and Expression. The point I made, has nothing to do with Education or Wealth, or whether you work and live in the USA, Europe, Bongo or somewhere, else. Pretty much you and I, are both U.S educated and based, I presume...(prove me wrong, otherwise!). New York was the first city of, my residence and professional life in the early-90s, fresh from graduate school. I am not going to demean those who are working in factories, warehouses, or nursing homes as you did; because doing so simply, betrays the whole premise of survival for the majority of people in the U.S. and, of course, for our brothers and sisters who came from Third World Countries(Bongo included) as well. I feel the pain you're enduring from the barrage of attacks on your "CEO" title. Mdau, I beg you to calm down, maana commentaries za hapo juu hazitakupunguzia kipato au prestige yako. Watu hawakuonei wivu, and there is no need for anybody to do so, especially for those of us who live and work hard in the U.S...We have seen and done it all! PEACE!
Anon.3.52 AM, Pamoja na kuonyesha kuwa ujaribu kuwakata watu kauli kwa kumalizia maoni yako. Mimi binafsi ninapendelea niweke wazi hili ili wasomaji waweze kuelewa kwa mapana kidogo.
Huyu Anon.3.52 Am ni jamaa yangu wa karibu sana, yeye na mimi tunafanya kazi moja huku ughaibuni ya kudeliver pizza na kuendesha cab za uba. Ninamuelewa vizuri kwa kuwa tuko naye kila siku.
Ni kweli jamaa ana wivu sana akisikia wenzake wamepata maendeleo kidogo tu, vile vile vile hajaenda shule kabisaaa. Hayo yote mliyosema ndio mapungufu aliyonayo.
Kwa upeo wangu mdogo nilionao kama mwenzangu kwa kuwa wote hatujaenda shule kabisa, ni vizuri kufurahia unaposikia na kuona mafanikio kwa mwenzako. Awe mbongo mwenzio au wa kokote kule, hasa akiwa mbongo mwenzio unaweza ukamuuliza jinsi gani kapata hayo mafanikio ili na wewe uweze kujikwamua na ukata unaokuzunguka. Mara nyingi sisi watu tusiokwenda shule kabisa, wivu ndio unatumaliza na kuanza kulalamikia waliofanikiwa, pamoja na kuwapiga madongo. Hii si tabia nzuri hata kidogo.
Tunatakiwa tuige watu wa nchi nyingine wanavyoshirikiana na kupeana nguvu kwa faida yao huku ughaibuni na kule nyumbani kwao. MUNGU atusaidie sana nasi wabongo ili tuwe na moyo wa kutiana nguvu. HONGERA SANA CEO DAVID, MUNGU AKUBARIKI SANA.
Post a Comment