ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 13, 2015

BREAKING NEWS:MAJAMBAZI YAVAMIA KUTUO CHA POLISI UKONGA STAKI SHARI YAUA ASKARI NA RAIA

Kuna taarifa tulizozipata kuwa kituo cha polisi Ukomnga sitaki shari, jijini Dar es Salaam, kimevamiwa usiku wa manane na watu wasiojulikana ambapo, askari polisi sita na raia wawili wameuawa. Mwazo taarifa hizo zilisema polisi wanne wameuawa na bunduki 21 zimeibiwa.

Vijimambo iliongea na mmoja ya mkazi wa eneo hilo yeye alisema alisikia milio ya risasi mida ya saa 5 usiku karibu na nyumbani kwake lakini hafahamu kilichotokea. Mkazi mwingine wa Ukonga alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na pia kuthibitisha waliouawa kuwa ni askari 4, mfungwa na jambazi mmoja ameuawa.

Vijimambo inaendelea kulifuatilia tukio hili kwa karibu zaidi

No comments: