Advertisements

Monday, July 6, 2015

DKT. SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA JAPAN NCHINI TANZANIA



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi mpya wa Japan katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Masahau Yoshinda alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha kwa Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na na Balozi mpya wa Japan katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Masahau Yoshinda alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha kwa Rais.[Picha na Ikulu.]

No comments: