Dr. Wilibrod Slaa amesema kuwa akiwa Rais wa Tanzania atamfunga Dr. John Magufuli kwa sababu alisimamia mchakato wa uuzwaji wa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwa
Dr. Slaa akihojiwa na Radio five ya Arusha jioni hii nini maoni yake kuhusu uteuzi wa Magufuli kuwania Urais.
Ameongelea mengi lakini amesema iwapo UKAWA wakimpa nafasi na Watanzania wakampa kura za kutosha kushinda Urais atamtia Magufuri ndani ili kujibu tuhuma za uuzwaji wa Nyumba kwa bei ya kutupa.
Chanzo: Radio five, Arush

7 comments:
Meneno ya siasa tu hakuna lolote.
Hizo ni siasa na wala hitakiwi kulifanya hilo angalia matatizo ya wananchi walio wengi. Hizo nyumba ni kitu kidogo tu. Unaweza kuamua ukaamuru zijengwe nyingine huko Chalinze nafasinipo kubwa tu au Morororo. La msingi ngangana na kurejesha zile fedha za Escrow na hata Mh. Magufuli mwenyewe tunahitaji ile hela ya Esscrow swala la kusema unafuata ilani ya Chama ni kutukomoa waTanzania na haya mgombea wako mwenza. Kuilinda Katiba mbovu ni kuwamaliza waTanzania tuna wasiwasi mambo yataendelea kuwa magumu saaana Tanzania. Tunaelekea waaapii!!!!
Peace!!! Peace!!!! Peace!!!!!!!! Tanzania is peaceful country and always has been blessed with citizens who love peace.The old days of authoritative leadership style are gone and past mistakes are forgiven.
huyu mzee mpuuzi kweli, umtie mtu ndani kwani wewe mahakama. tuna vyombo vya sharia Tanzania. wewe unafikiri Tanzania ni nchi ya kifalme?? huyu babu hana jipya, badala ya kuletea sera analeta story zisizokuwa na miguu. hoipeless nani akupe urais wewe.
Unajua Simwelewi dr Slaa. Na I hope haongei kama anatoa tamko la chama chake. Alitaka auze kwa bei gani ya juu ili matajiri pekee ndio wazinunue?? Halafu anasema anatetea maslahi ya wananch wa Tanzania. Anajicontradict. Na hivi hivi manemo kama haya yanaweza mkosesha hata kura na kubaki Ccm kuendelea kutawala. Mwananchi wa kawaida akiona kuwa Upinzani walitaka nyumba ziuzwe ghali si ataona hamumfai. Think before you speak watu wanasikiliza tu na mwisho wa yote yatokayovinywani mwa wanaojinadi ndio yatapelekea kuchaguliwa au kutokuchaguliwa. Hakiki na wenzio kabla hujatamka.
Na ndio maana hatakuwa raisi hata Siku moja ataishia hapo hapo
Hakuna kiongozi yeyote kutoka kambi ya upinzani anayeweza kuingoa ccm madarakani. Hawako serious na mageuzi. Wanapenda sifa na pesa za bure. Na huu ndiyo mwisho wa Dr slaa. Mwangalie mtu kama Lipumba,yupo pale tangu 1995. Gadi hii leo anendelea kuwadanganya watanzania kuwa safari hii atashinda. ..... chama chenyewe cuf...
Post a Comment