Advertisements

Friday, July 17, 2015

Elimu ya utambuzi wa fursa kwa vijana inahitajika: Ridhiwani Kikwete

Ridhiwani Kikiwete wakati wa mahojiano na Joseph Msami.(Picha:UM/Idhaa ya Kiswahili)

Ridhiwani Kikwete wakati wa mahojiano na Joseph Msami.(Picha:UM/Idhaa ya Kiswahili)
Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya ujuzi kwa vijana inashangaza kuona kuwa baadhi ya vijana wanajishughulisha katika kujikwamua kiuchumi lakini wengi hawafahamu kuhusu malengo ya maendeleo ya milenia amesema mbunge kijana kutoka Tanzania Ridhiwani Kikwete.
Katika mahojiano na Joseph Msami alipotembelea makao makuu ya Umoja wa Mataifa hivi karibuni, mbunge huyo wa Chalinze mkoani Pwani anasema licha ya fursa lukuki za kimaendeleo ajira ni changamoto kubwa kwa vijana katika nchi zinazoendelea.

(SAUTI MAHOJIANO)

KUSIKILIZA BONYEZA HAPA

No comments: