ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 17, 2015

FAMILIA YA AMEIR YAJUMUIKA NA MARAFIKI NYUMBANI KWAO KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA EID

Seif Ameir (kati) akiwa na marafiki zake aliowaalika nyumbani kwake Greenbelt, Maryland katika kusherehekea sikukuu ya Eid mosi ambayo nchini Marekani na Uarabuni imeadhimishwa siku ya Ijumaa July 17, 2015.Wengine katika picha ni Abdul na Ramadhan (kulia).
Kushoto ni Nargis, mama mwenye nyumba wa Seif Ameir akiangalia kitu kwenye simu wakiwa na Missy T.
Seif Ameir na mwanae wakiwa na mgeni wao Abdul wakipata menyu.
Nargis katika picha ya pamoja na Sophia Mombasa.
Kwa picha zaidi bofya soma zzaidi


1 comment:

Anonymous said...

EID MUBARRAK WOTE HUKO.
Miss temeke unalijua jumba la mzee mende/idd khamis pale mtaa wa lindi?kina barke na Khadija;jamaa zako?