ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 2, 2015

HUYO NDIYO MENGI AKITIRIRISHIA MAJINA YA PAPA NA MAFISADI BILA SONI

4 comments:

Anonymous said...

tanzania itaendelea kuwa katika 3rd world kwa mambo kama haya. majungu yaso kwisha, kwa namna hii mtu yoyote anaweza kwenda kwa waandishi wa habari na kumtuhumu mwengine kwa ufisadi wizi nk bila kutoa ushahidi kamili. kama biashara zimekushindeni nyamazeni kimya fungeni madomo yenu

Anicetus said...

Although Tanzanians can freely exercise freedom of speech, speech taken from unsupported evidence can harm the national security, harm the economy and destroy social infrastructure. People should avoid talking on abstract and focus on specifics element that can be touched, felt, smelled and seen. In other words: Evidence Reflection.

Anonymous said...

Sema Usiogope sema..Mengi rais 2020!!

Anonymous said...

Nyie mnatakiwa kifimbo cheza cha mwalimu. Ugomvi kama wa primary school. Hadithi hadithi hadithi njoo....